AZIMIO DARASA LA 04

Bongo Life

 

UMAHIRI MKUU

UMAHIRI MAHUSUSI

SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI

MWEZI

WIKI

VIPINDI

REJEA

VIFAA/ZANA ZA UFUNDISHAJI

ZANA ZA UPIMAJI

MAONI

 

 

1.0KUTUMIA LUGHA YA KIHISABATI KUWASILISHA WAZO AU HOJA ( SEHEMU YA KWANZA)

1.1KUTUMIA DHANA YA NAMBA KUWASILIANA KATIKA MAZINGIRA TOFAUTI

i) kuwaongoza kuhesabu hadi 99999 kwa mfuatano

 

JANUARI

 

 

 

 

 

2

 

 

6

 

T.E.T. ( 2018) Hisabati Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la nne Dar es Salaam

 

 

 

 

 

T.E.T. ( 2018) Hisabati Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la nne Dar es Salaam

 

 

 

 

T.E.T. ( 2018) Hisabati Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la nne Dar es Salaam

Abakasi , sinia la namba, vifani , vitu halisi.

Maswali na majibu

 

 


ii) kusoma namba hadi 99999

3

6

 


iii) kuwaongoza kuandika namba kwa tarakimu hadi 99999

iv) kuwaongoz kuandika namba kwa maneno hadi 99999

v) Kuwaongoza kubaini thamani ya tarakimu katika namba

4

6

Abakasi , sinia la namba, vifani , vitu halisi.

Maswali na majibu

 


5

3

sinia la namba,

Maswali na majibu

 


vi) Kuwaongoza kusoma namba za kirumi  I hadi   L

vii) kuwaongoza kuandika namba za kirumi I hadi L

 

FEBRUARI

1

6

Kadi a namba za kirumi, chtati za namba za kirumi

Maswali na majibu

 


viii) kuwaongoza kutaja matumizi ya namba za kirumi

2

 

6

 


2.0KUFIKIRI NA KUHAKIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU (SEHEMU YA KWANZA)

2.1KUTUMIA STADI ZA MPANGILIO KATIKA MAISHA YA KILA SIKU

i) kuwaongoza kubaini  mfululuzi wa namba unaongezeka na kupungua

3

 

6

sinia la namba,

Maswali na majibu

 


ii) kuwaongoza kubaini namba zinazokosekana katika mfululuzi (zisizidi tano)

4

 

 

6

 


3.0KUTATUA MATATIZO KATIKA MAZINGIRA TOFAUTI

3.1KUTUMIA  MATENDO YA NAMBA YA KIHISABATI KATIKA  KUTATUA MATATIZO

i) kuwaongoza kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 99999 bila kubadili

 

MACHI

 

 

1

 

6

sinia la namba,

Maswali na majibu

 


ii) kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 99999 kwa kubadili.

Iii) kuwaongoza kufumbua mafumbo yanayohusu kujumlisha namba

2

3

sinia la namba,

 

Maswali na majibu

 

 


iv) kuwaongoza kutoa namba zenye tarakimu hadi tano bila kubadili

v) kutoa namba zenye tarakimu hadi tano kwa kubadili

2

3

sinia la namba,

Maswali na majibu

 


Vi) kuwaongoza kufumbua  mafumbo yanayohusu kutoa namba

3

3

sinia la namba,

Maswali na majibu

 


vii) kuwaongoza kuzidisha namba zenye tarakimu hadi tatu kwa kizidisho chenye tarakimu hadi mbili

MACHI

3

 

3

sinia la namba,

Maswali na majibu

 


MITIHANI YA NUSU MUHULA WA KWANZA

 

 


 

LIKIZO FUPI 31 /03  HADI 11/04/2023

 


 

 

Viii) kuwaongoza kufumbua mafumbo yanayohusu kuzidisha namba

ix) kuwaongoza kugawanya vitu katika mafungu kadhaa yaliyosawa.

x) kuwaongoza kugawanya namba zenye tarakimu hadi tatu kwa kigawanyo chenye tarakimu hadi mbili bila baki.

 

APRIL

2

6

 

 

T.E.T. ( 2018) Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la nne Dar es Salaam

Chati ya kuzidisha

Maswali na majibu

 

 


3

6

Chati ya kugawanya

Maswali na majibu

 


xi) kuwaongoza kufumbua mafumbo yanayohusu kugawanya namba

xii) kuwaongoza kujumlisha sehemu zenye asili moja

xiii) kuwaongoza kutoa sehemu zenye asili moja

 

APRILI

4

 

3

Chati ya kugawanya

Maswali na majibu

 


4

 

 

 

3

Chati ya kujumlisha sehemu

Maswali na majibu

 


 

mazoezi

 


3.2KUTUMIA STADI ZA UHUSIANO WA NAMBA NA VITU KUTATUA MATATIZO KATIKA MUKTADHA MBALIMBALI

i) kuwaongoza kusoma  saa kamili na dakika

ii) kuwaongoza kuandika saa kamili na dakika

MEI

 

1

 

6

Chati  za saa, vifani

Maswali na majibu

 


Iii) kuwaongoza kujumlisha saa na dakika

2

6

Vifani vya saa

mazoezi

 


iv) kuwaongoza kutoa saa na dakika

v) kuwaongoza  kufumbua  mafumbo yanayohusu wakati

3

6

 

 

T.E.T. ( 2018) Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la nne Dar es Salaam

Vifani vya saa

Maswali na majibu

 

 


vi) kuwaongoza  kujumlisha fedha za Tanzania

vii) kuwaongoza kutoa fedha za Tanzania

4

3

Vifani vya fedha

Maswali na majibu

 


ix) kuwaongoza kufumbua mafumbo yanayohusu manunuzi na mauzo

 

4

 

3

 

Maswali na majibu

 


 

MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA

 

 

 

MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA

 


 

LIKIZO YA MUHULA WA KWANZA 31/05/2023 HADI 03/07/2023

 

LIKIZO YA MUHULA WA KWANZA 31/05/2023 HADI 03/07/2023

 


4.0 KUFIKIRI NA KUHAKIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU(SEHEMU YA PILI)

4.1KUTUMIA STADI ZA VIPIMO KATIKA MUKTADHA MBALIMBALI

i) kuwaongoza kubadili vipimo vya urefu vya metriki

JUL

1&2

 

6

 

 

 

 

 

 

 

 

Chati ya vipimo vya urefu

Maswali na majibu

 

 


ii)  kuwaongoza kupima urefu kwa kutumia vipimo vya metriki

iii) kuwaongoza  kubadili vipimo vya uzani

 

 

 

3&4

 

6

Vipimo vya metriki

Maswali na majibu

 


6

Vipmo uzani

mazoezi

 


iv)  kuwaongoza kufumbua mafumbo yanayohusu  vipimo vya uzani

 

 

AGOSTI

1&2

6

T.E.T. ( 2018) Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la nne Dar es Salaam

 

 

 

mizani

Maswali na majibu

 

 


v)  kuwaongoza kubaini vipimo mbalimbali vya ujazo katika mazingira yao

vi)  kuwaongoza kupima ujazo kwa kutumia vipimo mbalimbali

vii)  kuwaongoza kufumbua mafumbo yanayohusu vipimo vya ujazo

3&4

 

 

12

Chati ya vipimo vya ujazo mbalimbali

Maswali na majibu

 


 

MTIHANI WA LIKIZO FUPI

KUFUNGA SHULE LIKIZO FUPI 01/09/ HADI  18/09/2023

 


4.2KUTUMIA STADI ZA MAUMBO KATIKA MUKTADHA WA HISABATI

i) kuwaongoza  kuchora mstari mnyoofu  na kipande cha mstari.

 

SEP

 

3

 

6

 

 

 

T.E.T. ( 2018) Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la nne Dar es Salaam

Penseli, rula , bikali

Maswali na majibu

 


ii) kuwaongoza kupima mzingo wa umbo bapa

4

6

Vifani vya maumbo bapa na pembetatu

Maswali na majibu

 


iii) kuwaongoza kukokotoa mzingo wa mraba wa mstatili na pembetatu

 


iv) kuwaongoza  kufumbua mafumbo yanayohusu mzingo

 

1

3

 


Chati ya mafumboa

Maswali na majibu

 


5.0 KUTUMIA LUGHA YA KIHISABATI KUWASILISHA WAZO AU HOJA( SEHEMU YA PILI)

5.1KUTUMIA STADI ZA TAKWIMU KWASILISHA TAARIFA MBALIMBALI

i) kukusanya na kurekodi data

 

OCTOBA

 

1

 

3

Chati ya takwimu

Maswali na majibu

 


ii) kuchora takwimu kwa picha kwa kutumia taarifa zilizowasilishwa

2

 

6

 


 

MAANDALIZI YA  MTIHANI WA TAIFA

 

 

 

             LIKIZO YA MWISHO WA MWAKA

 

 





























 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

HALMASHAURI YA WILAYA YA _____________

                                                     SHULE YA MSINGI _________________

AZIMIO LA KAZI LA HISABATI DARASA LA IV 2023

MUHULA WA 1&2

JINA LA MWALIMU:   ____________________

. Umahiri utakaojengwa kwa mwanafunzi darasa la IV

Umahiri Mkuu

Umahiri Mahususi

1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (Sehemu ya kwanza)

1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti

2.0 Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku (Sehemu ya kwanza)

2.1 Kutumia stadi za mpangilio katika maisha ya kila siku

3.0 Kutatua matatizo katika mazingira tofauti.

3.1 Kutumia matendo ya namba ya kihisabati katika kutatua matatizo

3.2 Kutumia stadi ya uhusiano wa namba na vitu katika miktadha mbalimbali (fedha na wakati)

4.0 Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku (Sehemu ya pili)

4.1 Kutumia stadi za vipimo katika miktadha mbalimbali

4.2 Kutumia stadi za maumbo katika miktadha wa Hisabati

5.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (Sehemu ya pili)

5.1 Kutumia stadi za takwimu kuwasilisha taarifa mbalimbali

 

 

 

 

MALENGO YA UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA SHULE ZA MSINGI

a. Kujenga uwezo wa kufikiri kimantiki kwa mwanafunzi.

b.kujenga udadisi,uwezo wa utatuzi wa matatizo.

c.kuweka misingi muhimuya matumizi ya teknolojia,mawasiliano,ufikiri na tafakuri

d.kujenga uwezo wa kuchambua na kuwasilisha taarifa

e.kukuza uelewa wa mambo, vipimo na matumizi yake katika maisha

f.kujenga uwezo wa kujiamini katika kutumia maarifa, stadi na mwelekeo wa kihisabati katika maisha ya kila siku.

 

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !