UMAHIRI MKUU |
UMAHIRI MAHUSUSI |
SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI |
MWEZI |
WIKI |
VIPINDI |
REJEA |
VIFAA/ZANA ZA UFUNDISHAJI |
ZANA ZA UPIMAJI |
MAONI |
|
||||||||||||||
1.0KUTUMIA LUGHA YA KIHISABATI KUWASILISHA WAZO AU HOJA KATIKA MAISHA YA KILA SIKU ( SEHEMU YA KWANZA)
|
1.1KUTUMIA DHANA YA NAMBA KUWASILIANA KATIKA MAZINGIRA TOFAUTI.
|
Kuwaelekeza wanafunzi kuhesabu kwa mafungu na kubainisha thamani ya nafasi za tarakimu katika namba zisizozidi 1 000 000 000 |
J A N U A R I
|
2 |
5 |
T.E.T (2020) Hisabati kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Saba, Dar es Salaam
T.E.T (2020) Hisabati kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Saba, Dar es Salaam
|
Kadi za namba, sinia la namba, vifani vya noti za Tanzania |
Mazoezi,maswali na majibu |
|
|
||||||||||||||
Kuwaelekeza wanafunzi kusoma namba nzima zisizozidi 1 000 000 000 zilizoandikwa kwa maneno na zilizoandikwa kwa tarakimu. |
3 |
5 |
Kadi za namba, chati ya namba za maneno |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||||
Kwaelekeza wanafunzi kuandika namba nzima zisizozidi 1 000 000 000 kwa numerali na kwa maneno |
4 |
5 |
Abakasi, kadi za namba za numerali |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||||
Kuwawezesha wanafunzi kujumlisha namba nzima kwa ulalo na kwa wima kupata jumla isiyozidi 1 000 000 000 kwa kubadili (kuchukua) na bila kubadili (bila kuchukua) |
5 |
3 |
Kadi za namba, abakasi, chati ya namba, sinia la namba |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||||
Kuwawezesha wanafunzi kutoa namba nzima kwa ulalo na kwa wima hadi 1 000 000 000 kwa kubadili (kuchukua) na bila kubadili (bila kuchukua) |
F E B R U A R I
F E |
1 |
2 |
Kadi za namba, abakasi, chati ya namba, sinia la namba |
maswali na majibu |
|
||||||||||||||||||
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia kadi za namba kuzidisha namba nzima kupata zao lisilozidi 1 000 000 000 |
1 |
3 |
Chati ya kuzidishia, kadi za namba |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||||
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia chati ya namba kugawanya namba nzima zenye kigawanye kisichozidi 1 000 000 000 kwa kigawanyo kisichozidi laki moja. Kwa kubaki namba na bila kubaki namba |
2 |
3 |
Chati ya kuzidishia, kadi za namba |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||||
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia sinia la namba, chati ya kusidisha, kufumbua mafumbo yenye dhana ya kugawanya.
|
2 |
2 |
Chati ya kuzidishia, kadi za namba
|
maswali na majibu
|
|
|||||||||||||||||||
2.0 KUFIKIRI NA KUHAKIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU (SEHEMU YA KWANZA) |
2.1KUTUMIA STADI ZA MPANGILIO KUFUMBUA MAFUMBO KATIKA MAISHA YA KILA SIKU. |
Kuwaelekeza wanafunzi kutumia kanuni ya MAGAZIJUTO katika matendo ya namba ya kihisabati hadi manne na mabano na mpangilio wenye matendo na kipeo cha pili cha namba |
B R U A R I
|
3 |
3 |
T.E.T (2020) Hisabati kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Saba, Dar es Salaam
T.E.T (2020) Hisabati kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Saba, Dar es Salaam
|
Kadi ya matendo ya kujumlisha, kutoa,kuzidisha na kugawanya |
maswali na majibu
|
|
|
||||||||||||||
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia punje za mahindi kubaini na kurahisisha uwiano wa vitu na kukokotoa uwiano wa vitu. |
3 |
2 |
Vitu vinavyo uwiano, punje, machungwa. |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||||
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia kadi za namba kukokotoa kipeo cha pili vya namba isiyozidi tarakimu nne. |
4 |
2 |
Kadi za namba |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||||
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia chati ya kuzidisha kukokotoa kipeuo cha pili cha namba isiyozidi tarakimu sita. |
4 |
3 |
Chati ya kuzidisha, kadi za namba |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||||
3.0KUTATUA MATATIZO KATIKA MAZINGIRA TOFAUTI
|
3.1KUTUMIA MATENDO YA NAMBA ZA KIHISABATI KATIKA KUTATUA MATATIZO |
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kadi za michoro ya kugawanya namba nzima, kugawanya namba nzima kwa sehemu na kurahisisha. |
M A C H I
|
I |
3 |
Kadi za kugawanya namba nzima na sehemu |
maswali na majibu |
|
||||||||||||||||
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kadi za michoro za kugawanya, kugawanya sehemu kwa sehemu na kurahisisha |
1 |
2 |
Kadi za kugawanya sehemu kwa sehemu |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||||
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kadi za desimali iliyobadilishwa katika sehemu. Kugawanya sehemu kwa desimali
|
2 |
5 |
Kadi za kugawanya sehemu kwa desimali |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||||
3.2KUTUMIA STADI ZA UHUSIANO WA NAMBA NA VITU KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI
|
Kuwaelekeza kuchambua vyanzo vya faida na hasara katika mauzo na manunuzi Kupanga mapato na matumizi ya bidhaa mbalimbali. |
3 |
3 |
Kadi za namba |
maswali na majibu |
|
||||||||||||||||||
Chati ya mauzo na manunuzi |
maswali na majibu |
|
||||||||||||||||||||||
Kufanya kazi mradi kuhusu mauzo na manunuzi kwa kuzingatia vigezo vya kuandaa kazimradi.
|
M A C H I |
3 |
2 |
Chati ya mauzo na manunuzi
|
maswali na majibu
|
|
||||||||||||||||||
MITIHANI YA KUFUNGIA NUSU MUHULA WA KWANZA 31/03/ HADI 11/04/2023 |
|
|
MITIHANI YA KUFUNGIA NUSU MUHULA WA KWANZA |
|
||||||||||||||||||||
|
|
|
||||||||||||||||||||||
4.0KUFIKIRI NA KUHAKIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU (SEHEMU YA PILI) |
4.1KUTUMIA STADI ZA VIPIMO KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI
|
Kuwelekeza wanafunzi kubainisha kanuni ya mwendokasi na kufafanua vipengele vyake |
APRILI
|
2 |
5 |
T.E.T (2020) Hisabati kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Saba, Dar es Salaam
T.E.T (2020) Hisabati kitabu cha Mwanafunzi Darasa la Saba, Dar es Salaam
|
Uwanja/eneo la wazi. |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||
Kuwelekeza wanafunzi kukokotoa umbali , muda na mwendokasi, kutumia dhana ya mwendokasi kubaini vitu vinavyosafiri nchi kavu , majini na angani. |
3
|
5 |
Picha za vyombo vya usafiri,chati ya kanuni |
maswali na majibu |
||||||||||||||||||||
4.2 KUTUMIA STADI ZA ZA MAUMBO KATIKA MIKTADHA YA HISABATI |
Kuwaelekeza wanafunzi kubainisha kimo, kitako, na kiegama katika pembetatu mraba na kuzitofautisha. |
4 |
5 |
Kipima pembe, chati ya picha ya maumbo |
maswali na majibu |
|||||||||||||||||||
Kutumia kanuni ya Paithagorasi kukokotoa kitako, kimo, na kiegama katika maumbo na kutumia kanuni ya Paithagorasi katika maisha ya kila siku. |
MEI
|
1 |
5 |
Chati ya mchoro wa pembetatu |
maswali na majibu |
|||||||||||||||||||
5.0KUTUMIA LUGHA YA KIHISABATI KUWASILISHA WAZO AU HOJA KATIKA MAISHA YA KUILA SIKU (SEHEMU YA PILI) |
5.1KUTUMIA STADI ZA ALJEBRA KATIKA MAISHA YA KILA SIKU |
Kuwaelekeza wanafunzi kurahisisha mitajo ya namba nzima, sehemu na desimali katika matendo ya kihisabati. |
2 |
5 |
Chati ya namba |
maswali na majibu |
||||||||||||||||||
Kutumia chati ya namba kukokotoa milinganyo sahili ya namba nzima sehemu na desmali |
3 & 4 |
10 |
Chati ya namba |
maswali na majibu |
||||||||||||||||||||
MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA |
|
|
||||||||||||||||||||||
LIKIZO YA MUHULA WA KWANZA -31/05/2023- 03/07/2023 |
|
|||||||||||||||||||||||
Kufumbua mafumbo ya milinganyo sahili ya namba nzima. Sehemu na desimali |
JULAI |
1 & 2 |
10 |
|
Chati ya namba |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||
5.2 KUTUMIA STADI ZA TAKWIMU KUWASILISHA TAARIFA MBALIMBALI |
Kuwaelekeza wanafunzi kuchora grafu kwa michiri kwa kuzingatia taarifa muhimu (kichwa cha grafu, vipimo, majira na michiri)
|
JULAI
|
3&4
|
10 |
Chati ya takwimu, karatasi ya grafu |
maswali na majibu |
||||||||||||||||||
Kuwaelekeza kutafsiri grafu kwa michirizi na kufanya kazimradi kuhusu takwimu mablimbali kwa kuzingatia vigezo
|
AGOST I |
1&2 |
10 |
|
Chati ya takwimu |
maswali na majibu |
|
|||||||||||||||||
Kuandaa kazimradi kuhusu takwimu mbalimbali kwa kuzingatia vigezo |
3&4 |
10 |
|
Chati ya takwimu |
maswali na majibu |
|
||||||||||||||||||
|
MAANDALIZI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI |
|
||||||||||||||||||||||
HALMASHAURI YA WILAYA YA ____________________
SHULE YA MSINGI ________________________
AZIMIO LA KAZI LA HISABATI DARASA LA VII 2022
MUHULA WA 1&2
JINA LA MWALIMU: _____________________
: Umahiri utakaojengwa kwa mwanafunzi darasa la VII
Umahiri Mkuu |
Umahiri Mahsusi |
1.01. Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (Sehemu ya kwanza). |
1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti |
2.02.Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku (Sehemu ya kwanza). |
2.1 Kutumia stadi za mpangilio kufumbua mafumbo katika maisha ya kila siku |
3.0 3.Kutatua matatizo katika mazingira tofauti. |
3.1 Kutumia matendo ya namba ya kihisabati katika kutatua matatizo 3.2 Kutumia stadi ya uhusiano wa namba na vitu katika miktadha mbalimbali |
4.0 4.Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku (Sehemu ya pili). |
4.1 Kutumia stadi za vipimo katika miktadha mbalimbali 4.2 Kutumia stadi za maumbo katika miktadha ya Hisabati |
5.0 5.Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (Sehemu ya pili). |
5.1 Kutumia stadi za aljebra katika maisha ya kila siku 5.2 Kutumia stadi za takwimu kuwasilisha taarifa mbalimbali |
MALENGO YA UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA SHULE ZA MSINGI
a. Kujenga uwezo wa kufikiri kimantiki kwa mwanafunzi.
b.kujenga udadisi,uwezo wa utatuzi wa matatizo.
c.kuweka misingi muhimuya matumizi ya teknolojia,mawasiliano,ufikiri na tafakuri
d.kujenga uwezo wa kuchambua na kuwasilisha taarifa
e.kukuza uelewa wa mambo, vipimo na matumizi yake katika maisha
f.kujenga uwezo wa kujiamini katika kutumia maarifa, stadi na mwelekeo wa kihisabati katika maisha ya kila siku.
0 #type=(blogger):
Post a Comment