UMAHIRI MKUU |
UMAHIRI MAHUSUSI |
SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI |
MWEZI |
WIKI |
VIPINDI |
REJEA |
VIFAA/ZANA ZA UFUNDISHAJI |
ZANA ZA UPIMAJI |
MAONI |
|
|||||||
KUTUMIA LUGHA YA KIHISABATI KATIKA KUWASILISHA WAZO AU HOJA (SEHEMU YA KWANZA)
|
KUTUMIA DHANA YA NAMBA KUWASILIANA KATIKA MAZINGIRA TUFAUTI
|
i) kuwaongoza kuhesabu hadi 9999 ii) kuwaongoza kusoma namba hadi 9999 |
JAN UARI
|
2 |
6 |
T.E.T. (2018) HISABATI Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam
T.E.T. (2018) HISABATI Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam
|
Chati ya namba |
Maswali na majibu |
|
|
|||||||
iii) kuwaongoza kuandika namba kwa tarakimu hadi 9999 |
3 |
6 |
Kadi za namba |
mazoezi |
|
||||||||||||
iv) kuwaongoza kuandika namba kwa maneno hadi 9999 |
4 |
6 |
Kasha la namba |
Maswali na majibu |
|
||||||||||||
v) kuwaongoza kubaini thamani ya tarakimu katika namba |
5 |
6 |
Chati za namba |
Maswali na majibu |
|
||||||||||||
vi) kuwaongoza kugawa vitu halisi katika vipande au makundi yaliyo sawa. |
FEBRUARI
|
1 |
6 |
Kasha la namba |
Maswali na majibu |
|
|||||||||||
vii) kuwaongoza kusoma sehemu za kiasi na asili zenye tarakimu hadi mbili
viii) kuwaongoza kuandika sehemu kwa tarakimu hadi mbili
|
2 |
6 |
Kasha la namba |
Maswali na majibu |
|
||||||||||||
KUFIKIRI NA KUHAKIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU (SEHEMU YA KWANZA)
KUTATUA MATATIZO KATIKA MAZINGIRA TOFAUTI |
2.1 KUTUMIA STADI ZA MPANGILIO KATIKA MAISHA YA KILA SIKU
KUTUMIA MATENDO YA NAMBA YA KIHISABATI |
i) kuwaongoza kubaini vitu vyenye kuonesha mpangilio katika maisha, |
3 |
6 |
Namba zenye asili/kiasi |
Maswali na majibu |
|
||||||||||
ii) kuwaongoza kupanga namba kuanzia ndogo hadi kubwa |
4
|
6 |
Namba zenye asili/kiasi |
Maswali na majibu |
|
||||||||||||
Iii) kuwaongoza kupanga namba kuanzia kubwa hadi ndogo
i) kuwaongoza kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 9999 bila kubadili ii) kuwaongoza kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 9999 kwa kubadili |
MACHI MACHI |
1 |
6
6 |
|
|
|
|||||||||||
iii) kuwaongoza wanafunzi kufumbua mafumbo yanayohusu kujumlisha
|
2 |
6 |
|
|
|
||||||||||||
|
|
iv) kuwaongoza wanafunzi kutoa namba zenye tarakimu hadi nne bila kuchukua |
3 |
6 |
Chati ya namba , vihesabio |
Maswali na majibu |
|
||||||||||
|
|
LIKIZO YA NUSU MUHULA WA KWANZA 31MACHI-11APRILI |
|
|
|
|
|||||||||||
|
|
|
|
|
|||||||||||||
|
|
v) kuwaongoza kutoa namba zenye tarakimu hadi nne kwa kuchukua |
AP
|
2
|
6 |
T.E.T. (2018) HISABAT Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam |
Chati ya mafumbo
|
Maswali na majibu |
|
|
|||||||
vi) kuwaongoza kufumbua mafumbo yanayohusu kutoa |
3 |
6 |
Chati ya namba , vihesabio |
Maswali na majibu |
|
||||||||||||
vii) kuwaongoza kuzidisha namba zenye tarakimu hadi mbili kwa namba yenye tarakimu moja |
4 |
6 |
orodha |
Maswali na majibu |
|
||||||||||||
Viii) kuwaongoza kufumbua mafumbo yanayohusu kuzidisha. |
ME I |
1 |
6
|
orodha |
Maswali na majibu |
|
|
||||||||||
KUTUMIA STADI ZA UHUSIANO WA NAMBA NA VITU
|
I) Kuwaongoza wanafunzi kubaini vipimo mbalimbali vya wakati |
2 |
6 |
Chati ya kuzidisha |
Maswali na majibu |
|
|||||||||||
ii) kuwaongoza wanafunzi kubaini saa katika siku kwa kutumia mtindo wa saa 12 |
3 |
6 |
|
Chati ya mafumbo |
Maswali na majibu |
|
|
||||||||||
iii) kuwaongoza wanafunzi kutaja idadi ya siku katika wiki na majina yake
|
MEI |
4 |
12 |
vifani |
Maswali na majibu |
|
|||||||||||
|
|
MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA |
|
|
MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA |
|
|||||||||||
|
|
|
LIKIZO YA MUHULA WA KWANZA (31 MEI HADI 11 JULAI 2023) |
||||||||||||||
|
|
iv) kuwaongoza wanafunzi kutaja majina ya mwexi na idadi ya siku. |
JULAI
|
1 & 2
|
12
|
T.E.T. (2018) HISABATI Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam |
kalenda |
Maswali na majibu |
|
|
|||||||
v) kuwaongoza wanafunzi kubaini noti za Tanzania zenye thamani tofauti tofauti vi) kuwaongoza kutaja umuhimu wa noti na matumizi ya fedha |
3&4
|
12 |
Noti za Tanzania, vifani noti |
Maswali na majibu |
|
||||||||||||
vii) kuwaongoza wanafunzi kujumlisha fedha za Tanzania kupata jumla isiyozidi sh. 9999 |
AGOSTI |
1 |
6 |
Chati ya kujumlisha noti |
Maswali na majibu |
|
|||||||||||
viii) kuwaongoza wanafunzi kutoa fedha za Tanzania zisizozidi sh. 9999 ix) kuwaongoza wanafunzi kufumbua mafumbo yanayohusu fedha |
2 |
6 |
Chati ya kutoa noti |
Maswali na majibu |
|
||||||||||||
KUFIKIRI NA KUHAKIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU |
KUTUMIA STADI ZA VIPIMO KATIKA MUKTADHA MBALIMBALI |
i) kuwaongoza kubaini vipimo vya urefu
|
3 |
6 |
|
|
|
|
|||||||||
ii) kuwaongoza kupima, kusoma, na kurekodi urefu wa vitu
|
|
4 |
6 |
|
|
|
|
||||||||||
MITIHANI YA NUSU MUHUL A WA PILI |
|
|
|
MITIHANI YA NUSU MUHULA WA PILI |
|
||||||||||||
|
LIKIZO YA NUSU MUHULA WA PILI ( 01 HADI 18 SEPTEMBA 2023) |
||||||||||||||||
Iii) kuwaongoza wanafunzi kubaini vipimo vya uzani
|
SE |
3 &4 |
12 |
|
Chati ya mafumbo fedha |
Maswali na majibu |
|
|
|||||||||
iv) kuwaongoza wanafunzi kupima uzani wa vitu kwa kulinganisha kusoma na kurekodi
|
OCT
OCTOBA |
1 |
6 |
|
Rula, tape kamba |
mazoezi |
|
|
|||||||||
KUFIKIRI NA KUHAKIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU(SEHEMU YA PILI)
|
KUTUMIA STADI ZA MAUMBO KATIKA MAISHA YA KILA SIKU
|
i) kuwaongoza kubaini maumbo bapa na yasiyo bapa ii) kuwaongoza kutaja majina ya baadhi ya maumbo bap |
2 |
6 |
T.E.T. (2018) HISABATI Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam
T.E.T. (2018) HIABATI Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la III, Dar es Salaam |
Mezani, vitu halisi |
Maswali na majibu |
|
|
||||||||
iii) kuwaongoza kutengeneza baadhi ya maumbo bap
|
3 |
6 |
Chati ya maumbo bapa |
Maswali na majibu |
|
||||||||||||
iv) kuwaongoza kuchora maumbo bapa |
4 |
3 |
|
||||||||||||||
V) kuwaongoza wanafunzi kutengeneza maumbo kwa kutumia maumbo bapa. |
4 |
3 |
Chati ya maumbo bapa |
Maswali na majibu |
|
||||||||||||
vi) kuwaongoza kutaja vitu mbalimbali vyenye maumbo bapa katika mazingira yanayomzunguka
|
NOVEMBA |
1 |
6 |
Chati ya maumbo bapa |
Maswali na majibu |
|
|||||||||||
vii) kuwaongoza kutaja vitu mbalimbali vyenye maumbo ya ukumbi katika mazingira yanayomzunguka |
2 |
6
|
|
Chati ya maumbo bapa, maumbo ya ukumbi |
Maswali na majibu |
|
|
||||||||||
KUTUMIA LUGHA YA KIHISABATI KATIKA KUWASILISHA WAZO AU HOJA(SEHEMU YA PILI) |
KUTUMIA STADI ZA TAKWIMU KATIKA KUWASILISHA TAARIFA MBALIMBALI |
i) kuwaongoza wanafunzi kusoma na kutafsiri takwimu kwa picha
|
3 |
6 |
Picha za takwimu mbalimbali |
Maswali na majibu |
|
||||||||||
ii) kuwaongoza wanafunzi kuandika idadi ya vitu kutokan n atakwimu kwa picha |
4 |
6 |
|
||||||||||||||
MITIHANI YA MUHULA WA PILI |
DES |
1 |
|
MITIHANI YA MUHULA WA PILI |
|||||||||||||
|
LIKIZO YA MUHULA WA PILI ( 07 DESEMBA 2023) |
||||||||||||||||
HALMASHAURI YA WILAYA YA _____________________________
SHULE YA MSINGI _______________________________
AZIMIO LA KAZI LA HISABATI DARASA LA III 2023
MUHULA WA 1&2
JINA LA MWALIMU: _________________________
UMAHIRI UTAKAOJENGWA KWA MWANAFUNZI WA DARASA LA III
UMAHIRI MKUU |
UMAHIRI MAHUSUSI |
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja. ( Sehemu ya kwanza ) |
1. Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti. |
2.0 Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku. ( Sehemu ya Kwanza ) |
2. Kutumia stadi za mpangilio katika maisha ya kila siku. |
3.0 Kutatua matatizo katika mazingira tofauti. |
3.1 Kutumia matendo ya namba ya kihisabati. 3.2 Kutumia stadi ya uhusiano wa namba na vitu katika muktadha mbalimbali ( fedha na wakati ) |
4.0 Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku. ( Sehemu ya Pili ) |
4.1 Kutumia stadi za vipimo katika miktadha mbalimbali. 4.2 Kutumia stadi za maumbo katika maisha ya kila siku |
5.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja. ( Sehemu ya pili ) |
5. Kutumia stadi za takwimu kuwasilisha taaria mbalimbali |
MALENGO YA UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA SHULE ZA MSINGI
A) Kujenga uwezo wa kufikiri kimantiki kwa mwanafunzi.
b.kujenga udadisi,uwezo wa utatuzi wa matatizo.
c.kuweka misingi muhimuya matumizi ya teknolojia,mawasiliano,ufikiri na tafakuri
d.kujenga uwezo wa kuchambua na kuwasilisha taarifa
e.kukuza uelewa wa mambo, vipimo na matumizi yake katika maisha
f.kujenga uwezo wa kujiamini katika kutumia maarifa, stadi na mwelekeo wa kihisabati katika maisha ya kila siku.
0 #type=(blogger):
Post a Comment